KANUNI ZA UFUGAJI BORA WA NG'OMBE
Ng'ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa Mazao mengine kama ngozi,mbolea na hutumika kama wanyama wa kazi.Zaidi ya asilimia 95 ya ng'ombe waofugwa hapa nchini ni wa Asili ambao huzalisha nyama na Maziwa kwa kiwango kidogo ukilinganishwa na wale wachache walioboreshwa.
N'GOMBE WA KUBORESHWA.
Ng'ombe hawa wamegawanyika mara mbili kama-
(i)Ng'ombe wa nyama
(ii)Ng'ombe wa Maziwa.
KANUNI ZA UFUGAJI BORA
Kama unataka ng'ombe anayetoa mazao bora lazima ufate kanuni za ufugaji bora ambazo ni pamoja na
{1}Kufuga ng'ombe katika eneo kwa kuzingatia uwiano wa idadi ya ng'ombe na Malisho katika mfumo wa ufugaji huria.
{2}Kujenga zizi bora au banda
{3}Kuchagua koo/aina ya ng'ombe kulingana na uzalishaji wa nyama au mazima.
{4}kutunza makundi mbalimbali ya ng'ombe kulingana na umri na hatua ya uzalishaji
(5)Kumpa ng'ombe lishe sahihi kulinga na na umri na mahitaji ya mwili.
(6)Kudhibiti magonjwa ya ng'ombe kama inavyoshauriwa na mtaalamu wa mifugo.
(7)kuvuna mifugo katika umri na uzito muafaka kulingana na uzito muafaka kulingana na mahitaji ya soko.
(8)kuzalisha maziwa,nyama,ngozi zinazokidhi viwango vya ubora na usalama.
(9)Kutunza kumbukumbu za uzalishaji na matukio muhimu ya ufugaji.
Zie

Ufugaji Mwema
Comments
Post a Comment