JINSI YA KUTUNZA VIFARANGA WIKI 1-5
Kuku ni ndege wafugwao na binadamu wengi kwa ajili ya matumizi mbalaimbali ya binadamu. Mara nyingi hutumika kwa ajili ya kitoweo na kwa biashara pia. Wafugaji wengi hupenda kufuga kuku maana ni mwepesi kumtunza na hana garama kubwa za utunzaji ukilinganisha na wanyama wengine wafugwao. leo tutaangali jinsi ya kuwalea vifaranga had wafae kuwa kuku wakubwa; Nyumba ya vifaranga; nyumba ya vifaranga inatakiwa kuwa karibu na nyumba ya kuishi ili uweze kuwaangalia vifaranga kwa ukaribu zaidi, ijengwe kwenye sehemu iliyotulia kulingana na mwelekeo wa upepo na kuta zisiingize baridi sana pia iwe na eneo la kutosha kulelea vifaranga. mfano wa nyumba ya vifaranga iliyotengenezwa na mfugaji mwenyewe nyumba hiyo imejegwa maalumu kwa ajilinya kutunzia vifaranga katika ustadi mzuri kabisa. Baadhi ya wafugaji hutengeneza nyumba za kufugi ilimradi katengeneza bila kutumia vipimo au ufanisi mzuri ili kulea vifanganga vizuri. mfano wa nyumba ya vifaranga a...